BIRDMAN AMJIBU RICK ROSS

Baada ya Rick Ross kutoa diss ya
Birdman kupitia wimbo wa “ Idols Become
Rivals” Boss huyu wa Cash Money Bryan
“ Birdman ” Williams amehojiwa na
Billboard nakusema …
“ Sihusiki na mambo ya kikahaba, nafanya
nachofanya na nazidi kwenda, mimi ni
mwanaume, nafanya mambo yangu, namba
hazidanganyi, na ndio hicho nachojali“…
Kauli hii ya Bryan “Birdman” Williams
imetajw akama kauli ya mitaa tu kutoka
kwa boss wa Cash Money kuhusu tofauti
zake na Rick Ross na kwamba
anachokisema Rozay ni mambo ya
KIKAHABA.
Pia Birdman amesema album ya Lil
Wayne Tha Carter V inatoka 2017.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI