MH.ZITO ASEMA NECTA IMESEMA HAINA REKODI YA ALBERT BASHITE WALA PAUL MAKONDA
Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda.
Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo
Maoni
Chapisha Maoni