MAUA SAMA AELEZEA MUZIKI ULIVYOMLIPA
Maisha kwa Maua Sama yanakwenda vyema,
asante kwa mkwanja anaopata kupitia muziki
anaofanya.
Muimbaji huyo wa ‘Main Chick’ ameeleza kuwa
kwa sasa ameshanunua kiwanja kwaajili ya
kudodondosha mjengo wake. “Muziki bado
naudai sana lakini mwisho wa siku unalipa
sababu naendesha maisha yangu sasa hivi, I
have my own place, I have bought plots, I have
my businesses,” Maua alikiambia kipindi cha The
Playlist cha Times FM.
“Anytime soon naweza nikaanza,” alijibu
kuelezea lini mjengo wake unaanza kujengwa.
Pia amedai kuwa ameaigiza gari lake, Toyota
IST New Model.
Maoni
Chapisha Maoni