KIM KARDASHIAN AFIKIRIA KUONGEZA MTOTO WA TATU
Kim Kardashian anafikiria kuwapa North na Saint
West mdogo wao. Ndio, staa huyo wa Keeping
Up With The Kardashians na mke wa rapper
Kanye West, ana mpango wa kuongeza mtoto
wa tatu.
Kwenye episode mpya ya kipindi chao cha TV,
mrembo huyo ameonesha nia ya kuendelea
kuipanua familia yake licha ya ujauzito uliopita
kumletea shida. Kupitia kipande kifupi cha video
toka kwenye episode mpya, Kim anasikika
akisema, “I’m going to try to have one more
baby.”
Hata hivyo Kim amedai kuwa madaktari wake
wamemshauri kutofikiria kupata mtoto mwingine
kwa sasa.
Maoni
Chapisha Maoni