Mh.ZITO;SERIKALI INAKUSANYA PESA KWA AJILI YA KUZITUMBUA TU NA SI KWA MAENDELEO



Zitto ameyasema hayo mbungeni dodoma,amesema serekali inakusanya hela kwa ajili ya matumizi na sio kwa maendeleo.

Ametolea mfano mpaka sasa maendeleo pekee ni bombadia na reli tu.

Zitto aliulizwa na mwandishi wa ITV tathimini yake juu ya bajeti inayomalizika ya 2016/2017 

Zitto bana,Eti wanakusanyia tumbo badala ya maendeleo ya watu du!

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI