PROF.LIPUMBA AMTIMUA RASMI MAALIM SEIF UKATIBU CUF
Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.
Tamko hilo limetolewa na mwenyekiti wa CUF anayeungwa mkono na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba ambapo amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya Maalim Seif kukaidi na kususia ofisi kwa miezi kadhaa.
==>Msikilize hapo chini akiongea
Maoni
Chapisha Maoni