RONALDO AISAIDIA URENO KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ureno dakika za 36 na 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hungary usiku wa jana Uwanja wa Sport Lisboa e Benfica, da Luz kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Kundi. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andre Silva dakika ya 32
Maoni
Chapisha Maoni