TWITTER YA HALIMA MDEE KUHUSU MCHUNGAJI GWAJIMA

Baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima leo April 9, 2017 kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana, jioni hii kupitia Twitter ya Mbunge huyo ameandika kuhusu kinachoendelea kati yake na Spika Ndugai.

Mdee ameandika :

’Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.


 Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI