HARMORAPA AWATUPIA DONGO WCB


Harmorapa Ameandika haya:

"Hii sio show ya bure ilikua na kiingilio chake babu. waambieni nyani kasema #Mungu akisema yes akuna Wa kuzuia maamuzi yake  wapo wengi afu wamefanya show ya bure ila bado wamekaa kwa #sokweMmoja  asante @ericshigongo na @globalpublishers
.
Naombeni nipumzike nikiamka ntawapostia mapicha na maclip ili muone jinsi ndugu yenu Mungu alivyo nibariki" Harmorapa

TOA MAONI YAKO HAPA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI