POLISI WAWASILI ENEO AMBALO WALIVAMIWA WANA CUF


Polisi inawahoji wanachama wa CUF waliovamiwa na watu waliovaa ‘mask’ katika ukumbi wa Vina Hoteli, Mabibo leo.

 Polisi imeshafika eneo la tukio na inawahoji wanachama hao w wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad waliokuwa wakifanya mkutano wao wa ndani.

 Pia Polisi inawahoji waandishi wa habari waliopo eneo la tukio.

Inaelezwa kuwa watu wanne, waliovaa soksi nyeusi usoni (mask) walivamia mkutano huo wa CUF wakiwa na mapanga na bastola.

Tutaendelea kukujuza yanayoendelea  kuhusu habari hii.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI