HARMORAPA SIJAWAHI KUACHWA NA MWANAMKE


Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kabisa kuachwa na mwanamke bali yeye ndiye huwa anawaacha hivyo hajui suala la maumivu ya mapenzi.

Harmorapa alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, na kudai yeye hajui maumivu ya mapenzi kwa kuwa hajawahi kuachwa na mwanamke.

"Hapana mimi sijawahi kutoswa, kuachwa na mwanamke haijawahi kutokea kwangu, mimi ndiyo huwa nawaacha ila si kuachwa" alisema Harmorapa 

 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI