POLISI WAFANIKIWA KUUWA MAJAMBAZI WATATU WALIOUA ASKARI WA NANE


Utata umezuka baada ya kuwepo kwa taarifa za polisi kuua watu sita wanaodaiwa kuwa majambazi wilayani Kibiti.

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga alisema anafuatilia ukweli wa tukio hilo.

 Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Nsatu Marijani, alisema kama taarifa hizo zingekuwa za ukweli basi jeshi hilo lingetoa taarifa.

 Hata hivyo, chanzo kimoja cha habari kutoka wilayani humo kililiambia Mwananchi kuwa polisi imewaua watu sita.

 Pia chanzo hicho kilieleza kuwa milio ya  mabomu na risasi ilisikika katika maeneo kadhaa ya kijiji cha Jaribu , Mpakani, wilayani humo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI