VIN DIESEL ASEMA KWENYE MAISHA YA KAWAIDA NAMPIGA THE ROCK
Mwigizaji Vin Diesel amesema kwenye
maisha ya kawaida anaweza kupigana
na kumshinda mwigizaji mwenzake The
Rock.
Blogger wa habari za michezo amesema
Vin Diesel na The Rock wamemaliza beef
zao ila bado wanataka kujua nani mbabe
zaidi ya mwenzake na muda wowote Vin
Diesel yuko tayari kupiga uso kwa uso
na The Rock.
The Rock na Vin Diesel hawajaelewana
toka wagombane wakati wanarekodi
filamu ya ‘The Fate of the Furious’…
Maoni
Chapisha Maoni