KENDRICK AVUNJA REKODI YA DRAKE
Rapa Kendrick Lamar amevunja rekodi ya
Drake kupitia mauzo ya album yake
mpya ndani ya wiki moja.
Album hii ya DAMN imeuza kopi laki
603,000 kwenye wiki ya kwanza na kuwa
album yenye mauzo makubwa zaidi
mwaka 2017 ndani ya wiki moja na
kuifunika album ya Drake More Life ,
iliyouza kopi 505,000 kwenye wiki ya
kwanza….
Mauzo makubwa ya DAMN ni ya kwanza
kwenye maisha ya muziki wa Kendrick
Lamar, awali album yake ya Pimp a
Butterfly iliuza kopi 324,000 kwa wiki ya kwanza
Maoni
Chapisha Maoni