JAY Z ANAANZISHA SHOW TV KUHUSU UBAGUZI WA RANGI
Jay Z ameanza kutayarisha show ya Tv
itakayohusu ubaguzi wa rangi nchini
Marekani…
Show hii itakuwa na Episode sita na
imepewa jina “ Race,”. Taarifa zinasema
ujumbe kwenye show hii utakuwa
Ubaguzi Wa Rangi nchini Marekani, tofauti
za malipo ya kazi tofauti ikitegemeana
na rangi ya mtu, unyanyasaji wa polisi,
mitandao ya kijamii, harakati na familia
za watu wa rangi.
Show hii ya “ Race” itaonyeshwa kwenye
nchi 171 na kwa lugha 45…
Dili hili la show ya Tv litakuwa kwenye
mikono ya Jay Z kwa miaka miwili chini
ya kampuni ya The Weinstein Company
Maoni
Chapisha Maoni