KILORITI AMCHANA BOSS WA HARMORAPA
Msanii kiloriti ambaye alikuwa chini ya label ya SGS amefungula
Kuwa boss wao anaeneza maneno ya uongo kuhusu maisha yao waliyokuwa wanaishi na harmorapa
Wamepishana kutokana na boss wake huyo kutaka atafute kiki jambo ambalo hakulipenda pia hawakuwa wanaishi kizungu kama mashabiki wao wanavyodai
Maoni
Chapisha Maoni