QUICK RACKA AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA KAJALA

Quick Rocka amejitokeza na kudai kuwa hatoki kimapenzi na malkia wa filamu, Kajala Masanja na kusema hizo ni stori za uongo.

Quick Rocka aliwahi kupost video mtandaoni akidendeka na mrembo huyo.

Akiongea katika kipindi cha FNL cha EATV, akitambulisha video yake mpya ya wimbo ‘Down’, Quick Rocka amesema hajawahi kutoka na mrembo huyo wa Bongo Movie.

“Stori kuwa nilikuwa natoka na Kajala ilikuwa ya uongo, usitake nitafutia matatizo” alisema Quick Rocka huku akiwa anacheka.

Kwa sasa, imeonekana wawili hao hawana ukaribu kama ilivyokua zamani.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI