FAIZA ALLY ASEMA ANATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIUME

Mwanadada Faiza Ally aliye kuwa mke wa Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anatarajia mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye bado hajamueka mtandaoni wake wa Instagram.

Faiza ambaye amekuwa maarufu kutokana na mavazi yake ya kushtua hapo kitambo alitangaza kuwa ako mjamzito na mtoto wake wa pili kupitia mtandao wako wa Instagram huku pia akimsifu mwanae wa kwanza, Sasha kwa kuwa rafiki wake wa karibu.

Faiza Ally
Aliandika kwa kusema…

Sasha is so happy she is gonna have a baby brother … ameshampa jina la junior sasa namuuliza kwa nn junior? akasema eti there is boy at school his name is junior   and she like him he is nice boy  sijui ndio mkwe any way I have no choice dada ndio keshampa jina kaka yake @sashadesderia thank you for being my best friend  love you my mwanangu u will be always my number 1


Hata hivyo mashabiki wake bado wanangoja Faiza Ally kumtambulisha mpenzi wake wa sasa.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI