YOUNG JEEZY NA WIZ KHALIFA WAFUNGULIWA KESI YA MAUAJI

Familia ya Eric Johnson imefungua
mashtaka dhidi ya Young Jeezy na Wiz
Khalifa wakidai baba yao aliuwawa
kwenye tamasha la wasanii hawa na
kwamba wamehusika.
Johnson alipigwa risasi kwenye show ya
Jeezy na Wiz iliyofanyika Mountain
View, California mwaka 2014.
Familia ya Eric inadai kuwa polisi
walisema mtu aliyempiga risasi baba yao
amefanana na Young Jeezy na kwamba
kuna shahidi alisema Jeezy ndio
aliyefyatua risasi….
Eric Johnson na familia yao wanataka
mashataka yafunguliwa dhidi ya Jeezy
na Wiz Khalifa juu ya kifo cha baba yao
kwenye tamasha hilo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI