TUNDU LISSU SIONI USHUJAA WA NAPE

TUNDU LISSU "Sioni Ushujaa Wowote wa Nape Nhauye"
.
.
Huyu mtu amezima bunge na kulivuruga kweli kweli. Amefungia magazeti. Akiwa waziri amepitisha sheria mbovu ya huduma za habari. Sioni ushujaa wowote bali amevuna matunda ya kazi yake na siasa za ndani ya CCM.

Nape namfananisha na mtu anayeitwa Tawia Adamafyo aliyepata kuwa waziri wa Ghana enzi za Kwameh Nkurumah. 
Huyo Tawia hakujua sheria anayotunga inatengeneza rat trap (mtego wa panya). Kilichotokea ni yeye kuwa wa kwanza kuwekwa kizuizini kwa kutumia sheria hiyo baada ya maafisa usalama kutegesha bomu karibu na eneo alilokuwa akihutubia Rais Nkurumah na hivyo waziri kuonekana alihusika.
. .

Hawa viongozi wanatunga sheria wanazodhani zitawabana wapinzani peke yao. Yakiwakuta wao, wanapiga kelele. Kwahiyo mimi sioni ushujaa wowote wa Nape" Alieleza Mhe Tundu Lissu wakati akihojiwa na gazeti moja la kila siku. .
.

Nini maoni yako?

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI