RAFIKI WA ALIKIBA APATA SHAVU LA UWAZIRI WA FEDHA AFRIKA KUSINI

Kumbe Alikiba na waziri mpya wa fedha wa
Afrika Kusini, Malusi Gigaba ni watu wa karibu!
Hitmaker huyo wa Aje amempongeza waziri
huyo kupitia mtandao wa Instagram kwa
kuchaguliwa na Rais Jacob Zuma kukalia kiti
hicho.
Kupitia mtandao huo, Alikiba ameandika:
Honorable minister Gigaba
@malusi_gigaba, it’s such an honour to
be an Ambassador under one of the
campaigns you started for Africa as
Minister of Home Affairs: Stop child
Trafficking. I want to thank you for the
opportunity and congratulate you in
your new role as the Minister of
Finance For South Africa, Stay blessed

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI