MADARAKA NYERERE PICHA YA MWL.NYERERE IONDOLEWE KWENYE COVER YA NYIMBO YA DIAMOND

Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe katika wimbo huo.

Itakumbukwa kuwa Mwalimu hakuwa mtu wa kukaa kimya hasa maovu yanapozidi, alikuwa akikemea.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI