BASHE ASEMA ACHENI UNAFKI MIMI NIMEWAHI KUKAMATWA NA USALAMA WA TAIFA NIPO TAYARI KUFUKUZWA CCM
Mbunge HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki, akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa.
'CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama.
Huu ni muendelezo wa alichokizungumza jana Bungeni kuhusu usalama wa Taifa kuhusika na utekaji
Maoni
Chapisha Maoni