ALBAM YA KANY WEST THE LIFE OF PABLO YAWEKA HISTORIA

Album ya Kanye West, The Life of Pablo
imeweka historia. Imekuwa album ya kwanza
iliyotoka mtandaoni pekee kwenda platinum, kwa
uthibitisho wa Recording Industry Association of
America, RIAA.
Kwa mujibu wa label yake, Def Jam, Kanye
amepata cheti cha platinum baada ya album
hiyo kusikilizwa mtandaoni mara bilioni 3,
kutosha kuifanya ifikie sawa na units milioni
moja za mauzo ya kawaida.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI