NIKKI WA PILI NATAMAN KUFANYA COLLABO NA J COLE
Nick wa Pili hatamani kufanya collabo na msanii
wa Afrika, walau kwa sasa.
Lengo lake ni kufanya ngoma moja na mkali wa
Power Trip, Jermaine Lamarr Cole aka J.Cole.
“Collabo yangu ambayo naiwaza hivi ni yangu na
J.Cole,” alisema Nick kwenye kipindi cha Friday
Night Live cha EATV.
“Sababu J.Cole na mimi naona kuna mahali
tunakutana, aliongeza rapper huyo wa kundi la
Weusi.
Hadi sasa Nick wa Pili hajafanya collabo yoyote
ya kimataifa.
Maoni
Chapisha Maoni