WAZIRI KAIRULI KASEMA SUALA LA VYETI FEKI HALIJAWAGUSA WAKUU WA MIKOA

Mheshimiwa Angela Kairuki, Waziri wa Nchi wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora (akikabidhi ripoti ya Vyeti kwa Rais Chuo Kikuu Dodoma) amesema "Uhakiki huu haujafanyika kwa viongozi wa Kisiasa ambao wako serikalini kama vile Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao mamlaka ya uteuzi ndio wanajua ufanisi wa kazi zao na pia katika Siasa suala ni kujua kusoma na kuandika."

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI