AT AFUNGUKA

AT amchana Rama Dee kuhusu Adam Juma





 wa miduara nchini Tanzania AT ambaye kwa sasa anatamba na ngoma mpya yenye mahadhi tofauti na mduara inayokwenda kwa jina la 'Sili feel', amemwachana msanii Rama dee kwa kuwambia anapaswa awaheshimu watu waliomtangulia.

Hayo yamekuja siku chache baada ya msanii Rama Dee kusema kiwango cha ‘director’ Mkongwe Adam Juma kiko chini ya viwango katika kutayarisha na kutengeneza ‘video’ na kwamba anamtaka ajifunze kutoka kwa Hanscana.

“Imekuwa desturi kwenye nchi yetu mtu kutomuheshimu mwenzake au nguvu zake, leo unatoka unasema Adam Juma hajui ku-shoot ‘video’, wakati wewe ukipewa ile kamera hata kupiga picha huwezi kujua lakini yule mtu ndiyo amekuja muziki wa Tanzania”. Alisema AT kupitia kipindi cha eNewz cha EATV

Aidha msanii huyo amesema wasanii ndiyo wanaongoza kwa kutokuwa na heshima, hivyo amewataka wasanii wenzake kuwa na heshima kwa watu waliowazidi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MBINU 5 KALI ZA JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE MREMBO NA AKUBALI

SPIKA NDUGAI AELEZEA MAANA YA NENO FALA

FAHAMU NJIA ZA KUSAIDIA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI