Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2017

LOWASA AWASILI MAKAO MAKUU YA POLISI

Picha
Msafara wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ukiwa na magari manne ukisindikizwa na magari mawili ya polisi umewasili makao makuu ya polisi. Jana Lowassa alipewa taarifa ya kwenda  kuhojiwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). Mapema leo, Jumanne asubuhi polisi wameimarisha ulinzi katika barabara zote zinazoingia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi yaliyopo Mtaa wa Ohio. Polisi wakiwa na silaha wameegesha magari yao kwenye kila barabara inayoingia makao makuu ya jeshi hilo, huku wengine wakizunguka zunguka maeneo ya jirani. Wananchi wanaruhusiwa kupita lakini walio kwenye vikundi wanasimamishwa na kuhojiwa, huku wengine wakizuiwa kabisa kukatiza eneo hilo.

MAGAZETI YA LEO JUNI 19/2017

Picha

BARAKA THE PRINCE AFUNGUKA KUHUSU ALIKIBA

Picha
Msanii Baraka The Prince amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hana tofauti yoyote na Alikiba na kudai kuwa watu wa mitandaoni ndiyo wamekuwa chanzo cha kusambaza maneno hayo kuonyesha yeye ana tofauti na Alikiba.  Baraka The Prince amedai kuwa yeye hawezi kugombana na Alikiba na wala hategemei kuja kumkosea kwa kuwa ni moja kati ya watu ambao wanampenda sana yeye pamoja na sanaa yake. "Unajua ukidili wa watu wa Instgram wanaumiza sana kichwa kwa sababu mimi nipo kwenye label moja na Alikiba, hivyo Alikiba ni brother wangu na naishi naye kama kaka yangu kabisa, pia ni miongoni mwa watu ambao wananipenda sana, hivyo sitegemi kuja kumkosea au hata kugombana naye sitegemi kitu kama hicho, sema watu walianza kuongea hivyo baada ya kuona siongozinaye kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, watu wamezoea kuniona kila anapokwenda Alikiba niko naye kwa hiyo kuna sehemu zingine mimi sipo sababu sina sababu ya kuwepo, Alikiba amekuwa ni mtu ambaye hapa nchini hakai sana kwa kipindi hichi ndiyo m...

NIKKI MBISH AJIBU MAPIGO KWA GODZILA ASEMA NI STRESS ZINAMSUMBUA

Picha
Rapa Nikki Mbishi amedai Godzillah anaumizwa na 'stress' za kuporomoka kimuziki kitu ambacho hakukitarajia kutokea mapema kwenye maisha yake ndio maana amekuwa akitapa tapa kwa kumtolea maneno ya kashfa kwenye kila mahojiano anayofanya. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet bongo, Nikki amefunguka na kusema kwamba Mfalme huyo wa Salasala alibebwa na watu kwenye muziki na ndiyo waliomtupa na sehemu ambayo imemfanya ashindwe kuamka sababu inayomfanya hata kufikia kumtaja kwenye mahojiano mara kwa mara ili azidi kusikika. "Zizi ameshushwa na waliompandisha bila yeye kutarajia hilo. Ametupwa halafu ameenda kuporomokea sehemu ambayo hata hajui atanyanyukaje, halafu ana watu wake anahitaji kuwasema ila anaona Nikki mwanangu nikiongea nitammudu fresh, kwanini awe muoga mbona mimi nawaambiaga,” Nikki alifunguka. Aidha Nikki amejibu kauli ya Zillah kumuita 'Wack' na kusema kuwa haelewi ni sababu gani zimemfanya msanii huyo kutumia kauli hiyo huku akihoji labda kama a...

NIKKI WA PILI AWAPA SOMO BONGO MOVIE

Picha
Nikki wa Pili anasema "Wasanii wa Bongo Movie ni wakubwa na wenye ushawishi mkubwa sana! Ila wanashindwa kuutumia ushawishi wao katika ku-promote kazi zao! Ndio maana Bongo Movie inayumba!" ● Akiwa na maana kuwa mtu kama @wolperstylish, @auntyezekiel na hata @elizabethmichaelofficial ni watu ambao tunawasikia kwenye Kiki mbali mbali kila kukicha ila kibaya ni pale kiki zao zinapokuwa haziambatani na kazi zao! ● Nikki ametoa pongezi kwa Wana Bongo fleva kwa utaratibu wao wa kufanya Kiki kabla ya kutoa ngoma akidai kwamba Kiki zinasaidia kutangaza kazi zao na kufanya sanaa yao inakua tofauti na Bongo Movie ambao mara nyingi Kiki zao haziambatani na Kazi zao. ● Mfano mzuri @nikkwapili ameutoa kwa @iambenpol ambaye aliamua kuchukua attention za watu kabla ya kuachia ngoma yake ya #Tatu ikiwa ni Nadra sana kuona mambo kama hayo kwenye Tasnia ya Bongo Movie

MAGAZETI YA LEO JUNE 18/2017

Picha